Friday, October 30, 2015

BAADHI YA WAJUMBE WA ZEC WALIOPINGA MAAMUZI YA MWENYEKITI WAO KUBATILISHA UCHAGUZI WA ZANZIBAR *VIDEO*


Muda mchache baada ya mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Jecha Salum. kutangaza jaribio lake la kufuta uchaguzi mkuu wa Zanzibar 2015, makamishna wawili wa tume hiyo Ayoub bakari na Nassor khamis wameuita uamuzi huo kua sio wa ZEC, bali wa Jecha binafsi na wamejitenga mbali nao.

#DW kiswahili 

No comments:

Post a Comment