WANANCHI wa kijiji cha jamvini Ndagoni Wilaya ya Cheke Chake, wakishiriki upandaji wa miti aina ya mikoko (Mikandaa) pamoja na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Dk. Islam Seif Salim, kwa lengo la kuzuwia maji ya bahari kutokupanda juu.
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Dk. Islam Seif Salim wa pili kutoka kushoto akiwa ameshikilia mbegu za Miti aina ya mikoko, akitaka kupanda huko Jamvini Ndagoni Wilaya ya Chake Chake Pemba.
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Dk. Islam Seif Salim, akizungumz ana wananchi wa Jamvini Ndagoni pamoja na waandishi wa habari, mara baada ya kumalizika kwa zoezi la Upandaji wa miti aina ya mikono 2200.
#Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.
No comments:
Post a Comment