Nchi nyingi katiba huruhusu kiongozi wa nchi kukaa madarakani kwa
mihula miwili lakini nyingine zimekuwa zikibadilisha katiba zao ili tu
waendelee kubaki madarakani.
Wapo marais wengine wa Afrika ambao wamevunja rekodi kwa kukaa
madarakani kwa kipindi kirefu na wengine kusababisha hata migogoro ya
kisiasa ndani ya nchi zao.
Wajue Marais waliovunja rekodi kwa kukaa muda mrefu madarakani.
1. Teodoro Obiang Nguema Mbasogo -Rais wa Equatorial Guinea, amekaa madarakani kwa miaka 36
2. Jose Eduardo dos Santos-Rais wa Angola, amekaa madarakani miaka 36
3. Robert Mugabe-Rais wa Zimbabwe amekaa madarakani kwa miaka 35
4. Paul Biya- Rais wa Cameroon, amekaa madarakani kwa miaka 32
5. Denis Sassou Nguesso – Rais wa Congo, amekaa madarakani kwa miaka 30
6. Yoweri Museven- Rais wa Uganda, amekaa madarakani kwa miaka 29.
No comments:
Post a Comment