Spika wa Bunge Mh Anna Makinda Amelazimika Kuharisha Shuguli za Bunge Mpaka Jioni Mara baada ya Kuzuka Vurugu wakati Wakati waziri wa Niashati na Madini Mh Simbachawene Akiwasilisha Muswada wa Petroli na Gesi Bungeni.Hali Ilikuwa Hivi.'
Wamesikika wabunge wa upinzani na spika kuahirisha bunge wakati waziri wa nishati na madini akisoma muswada wake.Kwa nini hii miswada inalazimishwa kwa nguvu????
No comments:
Post a Comment