Mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es Salaam imewahukumu kwenda
jela miaka mitatu aliyekuwa waziri wa zamani wa fedha Basil Mramba,na
aliyekuwa Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona baada ya
kukutwa na hatia ya uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya ofisi na
kuisababishia serikali hasara ya sh bilioni 11.7.
Endelea kufuatilia
taarifa zetu kufahamu zaidi.
#ITV
#ITV
No comments:
Post a Comment