Nchini
Kenya, kumetokea kioja ambapo wanaume wengi wameamua kuanza kujihusisha
na shughuli ya kuuza WAKE zao kwa watalii wanaotoka mataifa mbalimbali
ili kujipatia PESA za kukidhi haja za Kimaisha.
Imesemekana kwamba
wanaume hao hulazimisha wake zao kuchukuliwa na watalii ambao wengi wao
ni jamii ya wazungu, wachina na wahindi ili tu kuingizia familia kipato.
Watalii hao hupenda sana kuulizia wanawake ambao ni rahisi kudanganyika kwamba wataolewa.
No comments:
Post a Comment