Sunday, June 14, 2015

WANAFUNZI WA CHUO KIKUU WAFARIKI BAADA YA KUTUMIA DAWA ZAKUONGEZA NGUVU KUFANYA NGONO

WANACHUO wa chuo Anambra State wamekutwa wamefariki baada ya kunywa dawa za kuongeza nguvu za kiume.
Majirani wahakufahamu mbaka miili yao ilipoanza kuharibika kupelekea kuvunja mlango.
Binti aliaga kwa wanafunzi wenzake anakwenda kwa mpenzi wake.

No comments:

Post a Comment