MBWA ni miongoni mwa wanyama wenye
ukaribu sana na binadamu na kwa nchi za wenzatu mbwa amekua akithaminiwa
sana kama binadamu wengine kuanzia chakula, malazi mpaka mavazi.
Wapo watu ambao hutumia kiasi kikubwa
cha fedha kuwahudumia mbwa na mara nyingi mbwa hutumika kama walinzi
katika nyumba za watu.
Nimeoma nikuletee hii video inayoonyesha jinsi mbwa anavyoweza kukumbuka kusali kabla ya kula kila siku.
Je wewe unakumbuka kusali kabla ya kula kila siku?
Itazame hapa.
No comments:
Post a Comment