RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akiwa na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa Gabonese Mhe,Jean ClaudeBouyobartkabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Afrika na Wajerumani uliofanyika Mjini Berlin Nchini Ujerumani.
Mwaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (kutoka kulia) Waziri wa Kilimo na Maliasili Mhe,Sira Ubwa Mamboya,Waziri wa Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo Mhe,Said Ali Mbarouk na Katibu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee wamejumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika Mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Afrika na Wajerumani uliofanyika Mjini Berlin Nchini Ujerumani.
Baadhi ya Viongozi wa Tanzania kutoka kulia Msaidizi Balozi wa Tanzania Ujerumani Christopher H.Mvula (kulia) Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa pia Mshauri wa Rais Mambio ya Nje na Ushirikiano wa Kimatataifa na Uchumi(katikati) na Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje ya Zanzibar Balozi Silima Kombo Haji wakiwa ni miongoni mwa walioshiriki katika Mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Afrika na Wajerumani uliofanyika Mjini Berlin Nchini Ujerumani.
Katibu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee (kulia) na Balozi wa Tanzania Nchini Ujerumani Philipo Marmo wamejumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Afrika na Wajerumani uliofanyika Mjini Berlin Nchini Ujerumani.
Balozi wa Jamhuri ya Watu wa Gabonese Mhe,Jean ClaudeBouyobart akizungumza na washiriki mbali mbali wa Mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Afrika na Wajerumani alipoufungua rasmi katika jumba la Baraza la Biashara la Ujerumani Mjini Berlin.
Baadhi ya Wafanyabiashara na wawekezaji kutoka nchi mbali mbali za Afrika na Ujerumani wakiwa katika Ukumbi wa Mkutano wa Wafanyabiashara na wawekezaji wa Afrika na Ujerumani Mjini Berlin.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake YA UFUNGUZI WA katika Mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Afrika na Ujerumani uliofanyika Mjini Berlin.Picha na Ramadhan Othman.
No comments:
Post a Comment