Monday, May 18, 2015

NKURUNZIZA AWAFUTA KAZI MAWAZIRI 3

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, amewafuta kazi mawaziri watatu, huku maandamano yakiendelea katika mji mkuu kufuatia jaribio la mapinduzi, juma lililopita.
Mawaziri walioachizwa kazi ni wa Ulinzi, mashauri ya Nchi za kigeni na biashara.

Mapema hii leo, polisi walivyatua risasi hewani katika mji mkuu Bujumbura, kujaribu kuutawanya umati wa vijana uliokuwa ukifanya ghasia.
#BBC Swahili

No comments:

Post a Comment