MTEJA; Samaki bei gan?
MUUZAJI; 5000!
MTEJA; Mwisho?
MUUZAJI; Mkiani!
MTEJA; Mbona samaki mwenyewe kalegea hivyo?
MUUZAJI; Muulize labda alikuwa shoga baharini!
MTEJA; Mbona una majibu ya shombo lakini?
MUUZAJI; Kwasababu nauza samaki ingekua nauza sukari majibu yangekua matamuu.
ULIMWENGU WA HABARI UNAWATAKIENI WOTE SIKU NJEMA!!
No comments:
Post a Comment