Sunday, April 12, 2015

ANGALIA BAADHI YA PICHA ZA BASI LA NGANGA LILILOWAKA MOTO BAADA YA KUGONGANA NA FUSO *PICHAZ*

BASI la Nganga linalofanya safari Iringa – Kilombero limegongana uso kwa uso na fuso kisha magari hayo kuteketea kwa moto huko maeneo ya milimani  kutoka Ruaha Mbuyuni kama unaenda Morogoro. Watu takribani 18 wamepoteza maisha akiwemo dereva wa fuso hilo na wengine wamekufa kwa kuteketea na moto. Ajali hyo imetokea leo asubuhi saa 2.


No comments:

Post a Comment