Wanawake wakiwa katika pozi kwa ajili ya kuchangiha fedha za East Anglian Air Ambulance.
KUNDI la wanawake wenye umri kati ya miaka 19 mpaka 50 nchini Uingereza limeamua kupiga picha za utupu zitakazotumika kwenye kalenda ikiwa ni mbinu ya kuchangisha fedha kwa ajili ya mfuko wa East Anglian Air Ambulance ambao hutoa huduma za dharura za kitabibu kwa kutumia helkopta katika baadhi ya wilaya nchini England.
Price William ndiye rubani wa ndege itakayotumika kutoa huduma hizo za kitabibu katika baadhi ya maeneo nchini England.
Kundi hilo lina mpango wa kumtumia nakala ya kalenda hizo, Price William ambazo zitasaidia katika kukusanya fedha zitakazosaidia helkopta hiyo itakayokuwa inaendeshwa na mtoto huyo wa malkia wa Uingereza.
Wanawake 14 kutoka Huntingdonshire wamekubali kupiga picha za utupu katika pozi tofauti.

No comments:
Post a Comment