Saturday, December 6, 2014

TAZAMA REKODI ZA AJABU ZAIDI DUNIANI 2014: HII NDIO BAISKELI KUBWA ZAIDI DUNIANI INAYOTEMBEA… NA NYINGINE KIBAO *PICHAZ*

Hii ndio baiskeli kubwa zaidi duniani kuwahi kutokea imetengenezwa huko nchini denmark na huyo mzee imeingia katika Guiness World Record 2014.
Pikipiki kubwa zaidi Duniani, imetengenezwa huko inchini Marekani lakini bado haidaanza kuwa na uwezo wa kutembea ila imeingia katika Guiness World Record 2014.
Huyu Jamaa ameingia kwenye Guiness World Record 2014 ya mwaka huu kwa kula pilipili kali 5000 ndani ya saa moja, ni mmarekani.
Mwendesha baiskeli huyu apanfidha ghorofa lenye floo 88 kwa kutumia baiskeli yake hiyo nae ameingia mwenye kitabu cha Guiness World Record cha mwaka huu 2014.
Ng'ombe mwenye mapembe marefu zaidi duniani huyo nchini australia, ana mapembe yenye urefu wa 277cm, ameingia kwenye Guiness World Record 2014 na kuwekwa kwenye kitabu chao.
Kampuni ya mbao nchini marekani imetengeneza mtego wa panya mkubwa zaidi duniani na kuingia katika Guiness World Record 2014. Mtego huu unafanya kazi kama ukitegwa na nihatari sana unaweza kumuua hata binadamu.
Kampuni ya bia ya Guiness inchini Afrika ya Kusini imeingia kwenye Guiness World Record ya mwaka 2014 baada ya kutengeneza glasi kubwa ya Guiness ambayo ndani yake waliweka kinywaji cha bia yao ya Guiness yenye ujazo wa lita 1499.
Timu ya taifa ya Nigeria imeinga kwenye Guiness World Record 2014 baada ya kutengeneza jezi ya timu yao ambayo ndio jezi ya timu ya taifa kubwa zaidi duniani.
Huyu ndio Mwalimu mzee zaidi Duniani ana umri wa miaka 99 na bado anafundisha mpaka sasa nae ameingia kwenye Guiness World Record ya mwaka 2014.
Hii ndio chokleti kubwa zaidi duniani ina skua mita za mraba 18.35 na ina vipande 1500. Imetengenazwa inchini Switzerland na kuoneshwa siku ya wapendani(valentine day) ya mwaka huu, imeingia katika Guiness World Record 2014.
Amezamia ndani ya maji kwa dakika 22 nakuingia kwenye Guiness World Record 2014.
Huyu baunsa ameingia kwenye Guiness World Record 2014 baada ya kubeba gari lenye uzito wa kilogram 380 na kutembea nalo umbali wa kilometer 22.
Ndie mwanamichezo alieshiriki michuona ya Olyimpiki mara nyingi zaidi Duniani, aliwahi kushiriki mara 80 na rekidi yake haijavunjwa mpaka sasa, ila kwa sasa hashiriki tena na umri wa miaka 90.
Watu 21 wameweza kuingia kwenye gari hii na kuingia kwenye Guiness World Record ya mwaka huu 2014.
Hili ndio gari dogo zaidi duniani pia linatumia mafuta na linamwendo kasi wa 60km/hr, limingia katika Guiness World Record 2014.
Gari kubwa zaidi duniani liko inchini marekani altanta kwenye mgodi wa makaa ya mawe ya uzalishaji wa umeme, limeingia kwenye Guiness World Record 2014 baada ya kuonekana ndio gari kubwa zaidi.
Wameingia kwenye Guiness World Record 2014 wakicheza mchezo wa draft ndani ya maji, ila kwakutumia mitungi maalumu ya kupumulia ndani ya maji.
Anyanyua chuma kwa mtindo wa gym ndani ya maji mara 22 vyenye uzito wa kilogram 500 vyote kwa pamoja na kuwekwa kwenye Guiness World Record 2014.

No comments:

Post a Comment