STAA Wema Sepetu ambaye alikuwa nchini Ghana akishoot filamu yake mpya akiwa na staa kutoka huko Van Vicker amereja nchini, Filamu hiyo ambayo itatoka siku za karibuni itaitwa Day After Death ambapo Wema na Van Vicker wameigiza kama mtu na mume wake.
Akikumbatiana na Martin Kadinda.
Akipozi na Martin Kadinda pamoja na Petity Money.
Akipozi na Martin Kadinda pamoja na Petity Money.
No comments:
Post a Comment