PICHA zinazomuonyesha Wema Sepetu akimbusu rafiki yake Aunt Ezekiel zimeleta maswali mengi kutok kwa watu wanaofuatilia maisha ya mastaa hawa, yakiwemo je ni wapenzi wa jinsia moja au walikuwa wamelewa wakati wanafanya mambo haya.
Wema ameniambia "Yes i kissed her like i kiss any person who is so close to me" Wema aliendelea kusema "Its not only her, i kiss my mum, my daughter, ma sister , people who are close to me i kiss them "
Wema ameniambia kukiss mtu ambaye yupo karibu na wewe sana ni kawaida na haswa wasichana wanaopendana na ni marafiki ni kawaida kwao kukiss kwenye lips na sio denda kama inavyotafsiriwa.
"Kissing on the lips kwa girls to girls is very very okey, its not ok kwa men to girls or men to men, kwa girls to girl kama u r close and attached, its ok, i kiss my mum and my sister on thier lips"
No comments:
Post a Comment