MTANDAO
wa Hollywoodlife umeripoti kuwa msanii Rihanna ataigiza sehemu ndogo
kwenye filamu mpya ya James Bond iliyopewa jina ‘Bond 24′.
Filamu
itaongozwa na director Sam Mendes na kutoka November 2015.
Sehemu atakayo cheza Rihanna imeripotiwa kuwa ni kuimba moja ya wimbo
wake kwenye filamu hio au kuwa Bond Girl ambapo atakuwa karibu sana na
star wa filamu za James Bond kwa sasa Daniel Craig.
No comments:
Post a Comment