RAIS
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika sherehe za ufunguzi wa barabara ya
Mwenge- Tegeta utakaofanyika leo tarehe 1 Oktoba 2014.
Ufunguzi
wa barabara ya Mwenge-Tegeta wenye urefu wa Kilomita 12.9, utafanyika
kuanzia saa nne asubuhi hii katika eneo la Lugalo njia panda ya Kawe.
Upanuzi
wa barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya mkakati wa Serikali
ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es
Salaam.
Taarifa hii imetolewa na;
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini(GCU)
Wizara ya Ujenzi
No comments:
Post a Comment