Wahudumu
wa Bunge wakibeba masanduku ya kura ili kuyapeleka kwenye chaumba cha
kuhesabia kura baada ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kumaliza
kazi ya kupiga kura Septemba 30, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa
Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka wakiteta
bungeni Mjini Dodoma Septemba 30, 2014. Kushoto ni Spika wa Bunge, Anne
Makinda (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment