Saturday, August 2, 2014

BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA INGUNN KLEPSVIK ALIPOMUAGA RAIS KIKWETE IKULU, BAADA YA KUMALIZA MDA WAKE



 RAIS Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Balozi wa Norway nchini anyemaliza muda wake Mhe. Ingunn Klepsvik wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga Rais Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Wakiwa katika mazungumzo.
Wakiagana baada ya mazungumzo.
Picha na Fredy Maro

No comments:

Post a Comment