MECHI kati ya Brazil na Germany ilibeba hisia za watu wengi sana na wengi wao walijaribu kuweka ahadi ambazo inawezekana ngumu kuwezekana, mmoja wapo ni msanii Roma Mkatoliki ambaye yeye alisema endapo Germany ingeshinda basi angehama toka Tongwe Records kwenda Sharobaro kwa Bob Junior.
Baada ya Germany kushinda ile ahadi yake inabidi aitimize swali ni je, itawezekana kwa yeye kufanya muziki wa kuimba?
No comments:
Post a Comment