Thursday, July 31, 2014

AJALI YA BASI NA LORI ILIYOUWA WATU 17 PAPO HAPO: *PICHAZ*

Basi la  Morobest lenye namba za usajili T 258AHV lilipopata ajali kwa kugongana uso kwa uso na Lori na kuua Watu 17 katika eneo la Pandambili Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma, Basi lilikuwa likitoka Mpwapwa kwenda Dar es salaam.
Basi la  Morobest lenye na namba za usajili T 258 AHV lilipopata ajali ya kugongana uso kwa uso na Lori na kuua Watu 17 katika eneo la Pandambili
Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma, Basi  liliokuwa likitoka Mpwapwa kwenda Dar es salaam.
Lori lenye namba za usajili T 820 CKU na tela yenye namba za usajili T390 CKT liliokuwa likiendeshwa na Dereva wake Gilbart Lemanya na Tingo wake Mikidadi Zubery Omary  ambao wote walifariki papo hapo linavyoonekana baada ya kugongana uso kwa uso na basi la Morobest katika eneo la Pandambili Wilayani Kongwa  Mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment