Mwenyekiti wa Hamashauri ya Wilaya ya Gairo ambaye ni Diwani wa Kata ya Iyogwe, Mhe: Clemence Msulwa akitoa hotuba yake wakati akifunga Mkutano maalumu wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo wakati wakupitisha azimio ya sheria ndogo za uanzishwaji wa mfuko wa afya ya jamii (CHF), pamoja na hati rasmi ya uwanzishwaji wa Bodi ya huduma ya Afya ya jamii, za Halmashauri ya Wilaya ya Gairo ya mwaka wa 2014, (kushoto kwake), Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Mhe: Khanifa Karamagi (wakwanza kusho), Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Bi Rose Ongara (wapili kulia), Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Godlove Nnko, mkutano huo ulifnyika katika ukumbi wa Hotel ya Diana Wilaya ya Gairo Machi 28, 2014.
Habari picha na Philemon Solomon - Gairo Morogoro
Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Mhe: Khanifa Karamagi akisisitiza jambo kwenye mkutano huo.
Mkuu wa Wilaya ya Gairo,Mhe: Khanifa Karamagi akiwa kwenye picha ya na Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo pamoja na Maafisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), baada ya kumalizika kwa mkutano maalumu wa Baraza la Madiwani wakupitasha azimio la sheria ndogoza uanzishwaji wa mfuko wa afya ya jamii (CHF), pamoja na hati rasmi ya uwanzishwaji wa Bodi ya huduma ya Afya ya jamii, za Halmashauri ya Wilaya ya Gairo ya mwaka wa 2014.Madiwa wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo wakipitia vipengele mbalimali vya sheria ndogoza uanzishwaji wa mfuko wa afya ya jamii (CHF), pamoja na hati rasmi ya uwanzishwaji wa Bodi ya huduma ya Afya ya jamii, za Halmashauri ya Wilaya ya Gairo ya mwaka wa 2014,kabla ya kupitishwa kwa azimio hilo.
Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Gabriel Gregory (wakwanza kutoka kushoto nyuma pamoja na Maafisa wengine kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wakishuhudia kupitishwa kwa azimio hilo.Kaimu Mkurugenzi Idara ya Huduma za Sheria Tamisemi,Triphonia Kisiga (katikati), Mwanasheria Halmashauri ya Wilaya ya Gairo Bw.Tumsime (kushoto), na Mwanasheria kutoka Wizara ya Afya Bw.Metta Nahonyo wakifuatilia kwa umakini upitishwaji wa azimio la sheria ndogoza uanzishwaji wa mfuko wa afya ya jamii (CHF), pamoja na hati rasmi ya uwanzishwaji wa Bodi ya huduma ya Afya ya jamii, za Halmashauri ya Wilaya ya Gairo ya mwaka wa 2014.Diwani Kata ya Kibedya Wilaya ya Gairo, Graceford Mkunduge akitoa azimia lakupitisha sheria ndogoza uanzishwaji wa mfuko wa afya ya jamii (CHF), pamoja na hati rasmi ya uwanzishwaji wa Bodi ya huduma ya Afya ya jamii, za Halmashauri ya Wilaya ya Gairo ya mwaka wa 2014.Mratibu wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Elisia Mtesigwa akielezea namna yakujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii katika kipindi cha robo nne ya mwaka kuanzia mwezi wa nne hadi mwezi wa tano mwaka huu 2014, uhamasishaji huo utafanyika kwa kushirikiana Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), pamoja na Halmashauri ambapo unatarajiwa kufanyika katika vijiji kumi 10 kutoka katika kata tano zitakazo teuliwa, kata zitakazopewa kipaumbele ni zile ambazo hazikuhusishwa katika uhamasishaji uliofanyika kati ya Halmashauri na Mradi wa ISAQH mwezi Desemba 2013.
Mheshimiwa Mwenyekiti katika uhamasishaji huo amesema wananchi watapata fursa ya elimu juu ya utendaji wa mfuko wa CHF pamoja na faida zake pia kaya zitazo jiunga na mfuko huo zitapewa kadi siku hiyo hiyo ya uhamasishaji,aidha kutakuwa na shughuli zingine kama vile upimaji wa Afya hususani VVU,Sukari, Shnkizo la damu, Malaria,Uzito, Urefu pamoja na ushauri wa afya” Alisema Mtesigwa.
No comments:
Post a Comment