Tuesday, March 11, 2014

MARIO GOTZE: SAMAHANI MESUT, BAYERN USIKU WA LEO HATUTAKUWA NA HURUMA KWA ASERNAL!

ZIKIWA zimesalia saa chache kushuhudia mechi ya marudiano baina ya  Bayern Munich na Arsenal ligi ya mabingwa barani Ulaya usiku wa leo, 

mshambuliaji wa Munich, Mario Gotze amefurahia kukabiliana na rafiki yake wa zamani, Mesut Ozil, lakini ameonya kuwa leo Bayern hawatakuwa na huruma kama msimu uliopita.

Wakiwa na faida ya ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wa kwanza uwanja wa Emirates jijini London, vijana wa Pep Guardiola ndio wanaopewa nafasi kubwa ya kufuzu hatua ya nane bora ya UEFA Champions League.


Washika bunduki wa London, Asernal wapo majaribuni leo hii dhidi ya mabingwa watetezi na  Gotze amesisitiza kuwa hawatafanya makosa, hivyo haitakuwa rahisi kwa Aserne Wenger kushinda Allianz Arena.
Reunion: Mario Gotze, seen here with the new Nike Magista boot, says ruthless Bayern Munich will show Arsenal no mercy in the second leg of their Champions League last 16 tie
Mario Gotze, anayeonekana na kiatu kipya cha Nike Magista amesema Bayern Munich usiku wa leo hawatakuwa na huruma hata kidogo kwa Asernal
All-conquering: Gotze has enjoyed a hugely successful first season with Bayern as they chase another Treble under manager Pep Guardiola
Gotze  anafurahia mafanikio mengine chini ya kocha wake Guardiola
Slim: Match analysts Bloomberg Sports only give Arsenal a 2.2 per cent chance of overcoming Bayern Munich

 Ndogo sana: Mchambuzi wa mechi wa Bloomberg Sports amewapa Arsenal asilimia  2.2 kuwatoa Bayern Munich usiku wa leo 
“Mchezo wa marudiano dhidi ya Asernal  utakuwa mgumu sana”. alisema Gotze katika mahojiano maalumu na Sportsmail.

“Lakini tutakuwa nyumbani, mashabiki wakiwa nyuma yetu, kwahiyo tunajiamini kuwa tutafuzu hatua ya robo fainali. Tunahitaji kushinda kila mchezo tunaocheza, hayo ndio malengo yetu”. Alisema Gotze.

Back in it: In their second leg meeting last year, Olivier Giroud scored for Arsenal in the Allianz Arena after just three minutes
 Rejea nyuma:  Katika mchezo wa marudiano mwaka jana, Olivier Giroud  aliifungia Asernal mabao mawili  katika dimba la Allianz Arena  baada ya dakika tatu tu 
Agony: Gotze's Germany international teammate Mesut Ozil saw his penalty saved in the first leg at the Emirates (below)Mzee wa mabalaaa:  Mjerumani mwenzi na Gotze,  Mesut Ozil  alitazama jinsi penati yake ilivyookolewa katika uwanja wa Emirates (chini pichani)
Agony: Gotze's Germany international teammate Mesut Ozil saw his penalty saved in the first leg at the Emirates (below)
Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail

No comments:

Post a Comment