Rais wa chama cha wanafunzi wa vyuo
vikuu(AIESEC) Bw. Frank Mushi, akiongea katika warsha ya 14 inayohamasisha vijana
kujianda katika ajira pindi wanapomaliza masomo ya vyuo vikuuwarsha hiyo
ilidhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika ukumbi wa Nkuruma, Chuo
kikuu cha Dar es Salaam.
Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu 13
walioshiriki katika warsha ya 14 inayohamasisha vijana kujianda katika ajira
pindi wanapomaliza masomo yao ya vyuo
vikuu, warsha hiyo ilidhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika ukumbi
wa Nkuruma, Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Ofisa raslimali watu wa Vodacom
Tanzania, Bw.Stephen Kisanko, akiongea na waandishi wa habari juu ya udhamini wa
warsha ya 14 inayohamasisha vijana kujianda katika ajira pindi wanapomaliza
masomo yao ya vyuo vikuu warsha hiyo
ilidhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika ukumbi wa Nkuruma, Chuo
kikuu cha Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Masoko wa chama cha
wanafunzi wa vyuo vikuu(AISEC)Bw.Elvis Kashaija,akiongea na waandishi wa habari
juu ya maandalizi na umuhimu wa vijana kushiriki katika warsha ya 14
inayohamasisha vijana kujianda katika ajira pindi wanapomaliza masomo yao ya vyuo vikuu warsha hiyo ilidhaminiwa na Vodacom
Tanzania na kufanyika katika ukumbi wa Nkuruma, Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Ofisa raslimali watu wa Vodacom
Tanzania, Bw.Stephen Kisanko,akiongea na waandishi wa habari juu ya udhamini wa
warsha ya 14 inayohamasisha vijana kujianda katika ajira pindi wanapomaliza
masomo yao ya vyuo vikuu warsha hiyo
ilidhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika ukumbi wa Nkuruma,Chuo
kikuu cha Dar es Salaam.
Ofisa raslimali watu wa Vodacom Tanzania,Bw.Stephen
Kisanko,akisikiliza maswali mbalimbali kutoka kwa wanafunzi wa vyuo vikuu 13
waliohudhuria katika warsha ya maandalizi na umuhimu wa vijana kujiandaa
katika kuingia kwenye ajira pindi wamalizapo masomo yao ya vyuo vikuu, warsha hiyo
ya 14 kufanyika hapa nchini ilidhaminiwa na Vodacom Tanzania,na kufanyika
katika ukumbi wa Nkuruma,Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Ofisa raslimali watu wa Vodacom Tanzania, Bw.Stephen
Kisanko, akitoa mada kwa wanafunzi juu ya
maandalizi na umuhimu wa vijana kujiandaa katika kuingia kwenye ajira pindi
wamalizapo masomo yao ya vyuo vikuu,wakati wa warsha ya 14 inayohamasisha
vijana kujianda katika ajira warsha hiyo ilidhaminiwa na Vodacom Tanzania. iliyofanyika katika ukumbi wa Nkuruma,Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Baadhi ya
wanafunzi wa vyuo vikuu 13 walioshiriki katika warsha ya 14 inayohamasisha
vijana kujianda katika ajira pindi wanapomaliza masomo yao ya vyuo vikuu,warsha hiyo ilidhaminiwa na
Vodacom Tanzania na kufanyika katika ukumbi wa Nkuruma,Chuo kikuu cha Dar es
Salaam.
(Habari na Picha: 8020 fashions blogspot)
No comments:
Post a Comment