Wasanii wa filamu, kutoka kushoto; Jacob Steven 'J B', Vicent Kigosi 'Ray', Irene Uwoya, Wema Sepetu na Single Mtambalike 'Rich Rich' walipowasili Kwadelo kwa ajili ya kushiri uzinduzi huo wa kampeni ya Kilimo Kwanza kwa vijana wa Kata hiyo.
Wazee wa Kwadelo wakati wakisubiri kuwasili kwa diwani wao pamoja wasanii hao
Baadhi ya akinamama wa Kwadelo waliohudhuria hafla hiyo
Ray akipozi picha na wazee wa Kwadelo
Kariati akiwa na wasanii hao kwenye trekta kabla ya uzinduzi wa kampeni hiyo
Wema Sepetu akiungurumisha trekta ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa kampeni hiyo. Wapili Kulia ni Omary Kariati
Uwoya naye akilijaribu trekta kwenye uzinduzi huo
KWADELO HOYEEEEEE! JB akihamasisha wakati wakiwa kwenye trekta la kilimo katika uzinduzi huo
Treka likionyesha mfano wa ulimaji wa kisasa kwenye shamba la shule ya sekondari ya Kwadelo wakati wa uzinduzi huo
KITUKO: Panzi! Panzi! Panzi!, Wema Sepetu (shati ya kijani) akifunika uso wake kwa kipochi chake, huku akipiga kelele na kujiingiza katika kundi la wazee, kwa sababu ya kuogopa panzi aliyemdandia wakati wa shughuli za uzinduzi huo shambani.
J B na Wema wakila mapozi shambani wakati wakienda sehemu ya uzinduzi
Wema akitangaza kuzindua kampeni hiyo
BAADAYE: Wasanii hao wakimkabidhi sh. 500,000 mmoja wa wananchi wa Kwadelo walioathirika na mafuriko. Kwa mujibu wa Diwani Kariati (wapili kushoto), fedha hizo zimetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Meembe ambaye ni mzee wa heshima wa kata hiyo.
Diwani Kariati akikagua maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika moja ya vijiji vya Kata ya Kwadelo, kufuatia mvua zoinazoendelea katika maeneo mbalimbali nchini
Kariati akionyeshwa maeneo yaliyoathirika
Wazee wakiomba dua ya kheri baada ya shuguli za uzindizi wa Kampnei ya kilimo kwanza na kukagua maeneo ya walioathiriwa na mafuriko: Picha na Bashir Nkoromo.

No comments:
Post a Comment