Na Aziza Gulu, Frank Mavura
Rais wa
Maerkani Barack Obama amewashukuru wamarekani kwa kuonesha imani juu ya uongozi
wake na kumpa ridhaa ya kuongoza tena taifa hilo kwa miaka minne ijayo.
Katika hotuba yake baada ya kutangazwa kushinda
rais Obama amesema kuwa kwa sasa anarejea ikulu akiwa na malengo thabiti na
mwenye ari zaidi ya awali kwa lengo la kuwatumikia raia wa taifa hilo.
Raia wa Marekani wakiwa wamejitokeza kufurahia ushindi wa Rais Barak Obama kutoka Democratic |
Rais Barack Obama akimpa mkono na mpinzani wake Mitt Romney (Picha: AFP) |
Baadhi ya raia wa Marekani wakiwa wameshikilia bango lililoandikwa TUMESHINDA!!! |
Rais Obama amemshinda mpinzani wake Mitt Romney ambaye amepata kura 203 kutoka katika majimbo 13 na kwa wingi wa kura za majimbo amepata jumla ya kura 206 dhidi ya kura 303 alizopata Romney,ambaye hata hivyo ameshinda Obama kwa kura za wananchi kwa asilimia 50 ya kura huku Obama akiambulia asilimia 49.
Swali ni kwamba watanzania tunajifunza nini kutokana na harakati za kampeni zilizofanyika hatimaye chaguzi zilizofanywa na wenzetu huko nchini Marekani, ambapo uchaguzi ulienda vizuri kabisa na hatimaye Rais Barack Obama kushinda kiti cha Urais kwa awamu nyingine tena?
No comments:
Post a Comment