|
Nick wa Pili akiwa katika mahojiano na Muendeshaji wa kipindi cha The Hill Youth Tv Magazine, Mbaraka Matitu Huku kubwa likiwa ni kuhusu Project mpya ya Nicki wa Pili inayoitwa WIMBO DVD, ambapo Nicki ameongea mengi kuhusu project hiyo. (Picha: Emmanuel Kiwelu) |
|
Nicki wa Pili akiwa katika maandalizi ya Kipindi hicho. |
Kipindi cha The Hill Youth TV Magazine ni moja ya vipindi maridadi vinavyorushwa na MLIMANI TV kinachotoa fursa kwa wananchi na wanajamii kwa ujumla kuona mambo mbalimbali yanayofanywa na vijana ikiwa ni katika pilikapilika za maisha na ukombozi wa Taifa letu, hapa wakiangaza katika vipaji vya wasanii wa muziki, urembo na watu wanaojishughulisha na Shughuli za kijamii. USIKOSE KUKIANGALIA KIPINDI HIKI LEO saa 08:30 Usiku.
No comments:
Post a Comment