Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Dk
Willibrod Slaa akifungua Mkutano Mkuu wa Jimbo la Kinondoni kuhusu Uhai
wa
Chama uliofanyika Makao Makuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam jana.
Wa pili
kushoto ni Ofisa wa Sera na Utafiti wa Chadema, Mwita Mwikwabe Waitara
na Naibu
Katibu Mkuu Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Subira Waziri (wa tatu kulia).
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika akizungumza na wajumbe waliohudhuria
Mkutano Mkuu wa Jimbo la Kinondoni
Ofisa wa Sera na Utafiti wa Chadema,
Mwita Mwikwabe Waitara
Baadhi ya wajumbe waliohudhuria katika mkutano huo.
(Picha na Habari Mseto Blog)
No comments:
Post a Comment