Dada huyu ambaye amejulikana kwa jina moja tu la Neva, inahofiwa ana matatizo ya akili, hivyo ombi kwa ndugu na jamaa wa dada huyu limetolewa na baadhi ya wakazi wa mbeya kumuondoa dada huyu maeneo haya hatarishi, kwani amekuwa akitembea katikati ya barabara bila uoga wowote huku akipiga magari mateke. Hili limeonekana toka eneo la soweto mpaka mafiati. |
No comments:
Post a Comment