Friday, November 21, 2014

SIKILIZA NA U-DOWNLOAD TRACK MPYA YA JAGUAR FT. IYANYA - ONE CENTIMETER *AUDIO*

Screen Shot 2014-11-21 at 1.55.07 AM
STAA wa hit single kama ‘kioo’ na ‘kigeugeu’ mkenya Jaguar amerudi tena kwenye spika zetu kwa kuidondosha hii remix ya single yake mpya ya ‘One centimetre’ ambayo kamshirikisha mkali Iyanya kutoka Nigeria.Iyanya 2
Jaguar atapenda sana kusoma maoni ya mashabiki wake baada ya kuisikiliza hii single mtu wangu so ufanye kumuachia comment hapo chini.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI